KitabCloud · English · Soomaali · Kiswahili · العربية · አማርኛ · ትግርኛ · Français · App

Maporomoko ya Maji ya Nyahururu
Njeri Wachira
Mvulana mmoja na familia yake wameenda kuona maporomoko ya maji yalioko Nyahururu nchini Kenya. Anasimulia alichofanya na alichoona katika ziara yake.