KitabCloud · English · Soomaali · Kiswahili · العربية · አማርኛ · ትግርኛ · Français · App

Juma anasema vaa barakoa!
Nathi Ngubane
Juma ana umri wa miaka kumi. Jamii yake imeathiriwa na virusi vya korona. Zena, dadake Juma, anazua mpango wa kusaidia kukinga watu wanaoishi katika jamii.