KitabCloud · English · Soomaali · Kiswahili · العربية · አማርኛ · ትግርኛ · Français · App

Biantaka na chungu kilichokufa
Peter Kisakye
Biantaka, mfugaji, alikuwa na chungu kidogo. Alitamani kuwa na chungu kikubwa. Angefanyaje? Alimdanganya jirani yake kupata alichotaka.