KitabCloud · English · Soomaali · Kiswahili · العربية · አማርኛ · ትግርኛ · Français · App

Ngurumo na Radi
Ogot Owino
Ngurumo na mwanawe, radi, waliishi miongoni mwa watu. Lakini, kwa ajili ya uharibifu wa mwanawe, mfalme aliwafukuza waishi angani, mbali na watu.