KitabCloud · English · Soomaali · Kiswahili · العربية · አማርኛ · ትግርኛ · Français · App

Mtoto wa Kima
Wesley Kipkorir Rop
Watoto wote wa mama kima wanafariki na huzuni wake unazidi kuwa mkubwa. Anapomzaa mtoto mwingine, anaamua kwamba mtoto huyo atapata nafasi ya kuishi.