KitabCloud · English · Soomaali · Kiswahili · العربية · አማርኛ · ትግርኛ · Français · App

Ndizi za Bibi
Ursula Nafula
Msichana mdogo anatazama na kudadizi namna bibi yake anavyotayarisha kuziweka ndizi ili ziive. Anakoziweka ndizi inabaki siri kubwa kwa huyu msichana…