KitabCloud · English · Soomaali · Kiswahili · العربية · አማርኛ · ትግርኛ · Français · App

Ah! Mpira!

Ah! Mpira!

Stella Kihweo

Mvulana mdogo alitumwa dukani na bibiye kununua vitu vichache. Anaambatana na rafikiye na kucheza mpira. Je, atampelekea bibi alichotumwa?

Vitabu vya sauti na vitabu pepe vya Kiswahili