KitabCloud · English · Soomaali · Kiswahili · العربية · አማርኛ · ትግርኛ · Français · App

Likizo kwa Bibi
Violet Otieno
Watoto wawili wana furaha wanapojitayarisha kumtembelea bibi kijijini. Wanafurahia maisha kijijini sana wanpourudi nyumbani, wanatazamia matembezi yajayo.