KitabCloud · English · Soomaali · Kiswahili · العربية · አማርኛ · ትግርኛ · Français · App

Refi awaosha kuku wake

Refi awaosha kuku wake

Marion Drew

Dadake Refi anaolewa. Kuku wa Refi ni wachafu, hivyo anaamua kuwaosha. Kuku hawapendi kuoshwa. Refi hawapati kuku wake.

Vitabu vya sauti na vitabu pepe vya Kiswahili